Tottenham wamfuata Ba.


Demba Ba

Klabu ya london Uingereza Tottenham inataka mnunua mshambuliaji wa timu ya Newcastle Demba Ba ambaye katika mkataba wake aliokuwa nao na klabu ya Newcastle kuna kifungu katika mkataba huo ambao unamruhusu Ba aondoke(kuuzwa) klabuni hapo kwa ada ya paundi millioni 7.

Tottenham walikuwa wanamtaka mchezaji huyo tokea Januari lakini mwishowe wakaamua mchukua Louis Saha.

Hata hivyo Louis Saha anatarajiwa kuwa mchezaji huru ,kwani timu hiyo ya Tottenham haina mpango wa kumuongezea mkataba Mfaransa huyo.

Tottenham wanahangaika kumbakisha mshambuliaji Adebayor katika klabu hiyo kutokana na maengezo yanayofanyika na Man City ambayo ndo timu Mama ya Adebayor kutofikia muafaka na vilevile mshambuliaji wao Defoe nae pia anataka ondoka klabuni hapo kutokana na kutopewa nafasi ya kucheza mara kwa mara.

Kutokana na hayo Demba Ba inawezekana kabisa akatua panapo klabu hiyo ya London (tottenham).

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: