Man Utd yamkaribia Kagawa na Modric.


Shinji Kagawa

Manchester United inakaribia kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund shinji kagawa kwa ada ya paundi millioni 17 na  pia yaongeza jitihada kwa mchezaji wa Tottenham Luka Modric.

Bosi wa Dortmund Hans Joachim Watzke amesema ” klabu zote mbili ( Manchester utd na Dortmund) wanataka wafikie muafaka kuhusiana na swala la usajili wa Kagawa”.

Vilevile Man Utd wanaongeza jitihada za kumsajili mchezaji wa Tottenham Modric mwenye umri wa miaka 26 na timu yake ya Tottenham inataka Man Utd watoe ada ya paundi millioni 35.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: