Man City na Utd wanamgombania Cisse.


Papiss Cisse

Timu mbili za Man Utd na City zipo katika vita vya kumgombania mshambuliaji wa timu ya Newcastle Papiss Cisse.

Baada ya timu hizo mbili zote kumkosa kiungo Eden Hazard ambaye ameamu kujiunga na Chelsea, timu hizo zimeamua hamishia macho yao kwa Cisse.

Mshambuliaji huyo anyetokea nchi Ya Senegal ambaye alijiunga na timu Ya Newcastle kwa ada ya paundi milioni 10 tu katika dirisha dogo la usajiri la Januari na akaweza kung’aa katika Timu hiyo ya Newcastle kwa kufanikiwa kufunga magoli 13 katika mechi 14 alizocheza.

Mchezaji huyo wa Newcastle amepewa unahodha katika timu yake ya taifa na ametunukiwa kiatu cha dhahabu kama mfungaji bora wa afrika.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: