Liverpool yahamia kwa kocha wa Swansea.


Brendan Rodgers

Kocha wa Swansea Brendan Rodgers sasa amekuwa chaguo la kwanza la liverpool hii ni baada ya kocha wa Wigan Martinez kushindwa fikia muafaka na mabosi wa Liverpool.

Kochwa huyo wa Wigan ambaye sasa inawezekana akahamia Aston Villa alikuwa ndo chaguo la kwanza la Liverpool lakini baada ya kukutana na mabosi wa Liverpool katika mji wa Miami wiki iliyopita na kushindwa fikiana muafaka wa maongezi yao,kocha huyo ameanza fikiria kujiunga Aston Villa

Timu hiyo ya Liverpool imekuwa ikitafuta kocha ambaye atakuwa mbadala wa Kenny Dalglish na njia yao wanaoitumia kumtafuta kocha imekuwa ikionekana haifai na watu wengi wamewashangaa mabosi hao.

Mmoja wa watu hao ni Jenkins ambaye amesema,
“Kama ngekuwa mmiliki wa Liverpool ngefanya swala hili la kumtafuta kocha tofauti na wanavyofanya hao,kwa kweli sijafurahishwa na jinsi wanavyomtafuta mbadala wa Dalglish”

Mabosi wa Liverpool wameshafika mjini hapo na tetesi zasema ikifika Alhamisi basi Rodgers atatangazwa kuwa  kocha wa timu hiyo huku Van Gaal akiwa Mkurugenzi wa mpira.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: