Balotelli: Mkinirushia ndizi NTAUA mtu.


Balotelli

Mario Balotelli amesema kama ikitokea atafanyiwa Ubaguzi wa Rangi katika mashindano ya Euro 2012 basi atatoka uwanjani na akaendele kusema ya kua atamuua mtu yeyote atakayethubutu kumbagua.

Mchezaji huyo wa Man City anahofia ya kuwa wachezaji wenye rangi nyeusi watabaguliwa katika mashindano hayo.

Familia ya mchezaji wa Arsenal Alex Oxlade-Chanberlain na Theo Walcott watoenda katika mashindano hayo kwa khofu ya kuogopa kubaguliwa lakini Balotelli mwenye asili ya Ughana amesema,
” Mie siukubaki ubaguzi na kitendo hicho hakifai na hakikubaliki. Kama kuna mtu akinrushia ndizi basi ninauhakika ntafungwa kwa sababu NTAMUUA.”

Balotelli amekuwa akifanyiwa ubaguzi mara nyingi na mara ya mwisho ilikuwa mwezi wa pili ambako klabu ya Ureno ya FC Porto ilipopigwa faini kwaajili ya ubaguzi uliofanywa na mashabiki wa timu yao dhidi ya Balotelli.

“Ngoja tuone itakuaje katika mshindano ya UERO maana kwa kweli nsingependa hilo swala litokee”

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: