Wenger amfuatilia Llorente.


Fernando Llorente kulia

Arsenal wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Athletic Bilbao Fernando Llorente.

Mchezaji huyo yupo tayari kuhamia Uingereza na amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake na Bilbao. Kumpata mchezaji huyo Arsenal inawabidi watoe paundi million 28.

Mchezaji huyo anajulikana kwa jina la Utani kama The Lion King.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: