Van Persie abakizwa Arsenal na mama yake.


 

ROBIN VAN PERSIE

Robin Van Persie ameshauriwa na mama yake abakie Arsenal.

Mchezaji huyo amekuwa akifuatiliwa kwa karibu sana na klabu ya Man City lakini mama yake mzazi amesema,
“Arsenal wanampenda na hiyo pekee ni sababu ya kubakia. Arsenal ni klabu nzuri,hawana madeni na Robin anapendwa Arsenal”

Barcelona na Juventus nao pia wanamtaka Van Persie ingawaje Van Persie alianza mazungumzo na Arsenal kuhusu kusaini mkataba mpya wiki iliyopita. Arsenal wanataka wamfanye Van Persie awe analipwa paundi millioni 130,000 kwa wiki kama mshahara.

Mke wa Robin nae akasema,
“Arsenal wameonesha kumuamini Robin alipokuwa akisumbuliwa na majeruhi, kwahiyo hatutakiwi na sie kuuvunja uaminifu huo. Maisha yetu mazuri na watoto wetu wanapapenda London.

Chanzo: The Sun.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: