Torres anabakia Chelsea.


Torres

Mshambuliaji wa Timu ya Chelsea Fernando Torres amesema amebembelezwa na mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich ili abakie katika timu hiyo msimu ujao.

Mchezaji huyo wa Chelsea ameisaidia timu hiyo msimu huu kuweza pata vikombe viwili vya FA na UEFA Champions League.

Tetesi za mchezaji huto kuondoka Chelsea zilianza baada ya timu hiyo ya Chelsea kupata ubingwa wa UEFA lakini Torres akasema mie nlichokuwa nataka ni kucheza mechi nyingi tu na baada ya kuchat na mmiliki wa timu, nafasi yangu katika timu inaonesha ipo salama.

” Nimeongea na mmiliki wa timu ya Chelsea na kwa kweli ananiamini” alisema Torres.

Torres alifutwa katika orodha ya wachezaji ambao wangeenda kuiwakilisha Hispania lakini baada ya David Villa kuumia, Torres amerudishwa katika orodha hiyo.

” Niliachwa katika orodha ya wachezaji wa Hispania ya kwenda UERO na kwa kweli iliniuma sana, na nkaona hii yote ni sababu sipewi nafasi ya kucheza katika timu yangu ya Chelsea lakini sasa Vicente ameniita na hiyo inaonesha ananiamini na mie ntajitahidi kwa uwezo wangu wote kulipiza fadhila hizo” alisema Torres.

Chanzo: Skysports.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: