Schalke wamtaka Kalou.


Cech na Kalou

Klabu ya Bundesliga Schalke anamtaka mchezaje wa Chelsea ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.

Mchezaji huyo yupo tayari kuiaga klabu yake ya Chelsea na kujiunga na miamba hiyo ya Ujerumani. Kalou amekuwa mchezaji huru baada ya mkataba wake mkataba wake aliokuwa nao Chelsea kuisha na hakuna dalili zinazoonesha mkataba mwengine kuweza kusainiwa kutokana na hivyo Timu ya ujerumani ya Schalke imewekaa kitita cha hela nyingi ambacho kinaweza mshawishi Kalou ajiunge na timu hiyo.

Mchezaji huyo imesekana amehusishwa na klabu nyingi zilizopo Uingereza lakini kwa hali inavyoonesha ni kuwa atajiunga na Schalke.

Chanzo: Daily Mirror.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: