Saha atemwa Tottenham.


Louis Saha

Louis Saha ametemwa na Klabu yake ya Tottenham ingawaje amejiunga Klabu hiyo miezi mitano (5) iliyopita.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 aliwasili Tottenham akitokea Everton katika usajili wa dirisha dogo la Januari.

Kuwepo kwake huru kumezifanya klabu nyingi kumfuatilia ikiwemo Klabu iliyopanda daraja ya West Ham, ambako boss wa West Ham aitwaye Sam Allardyce anataka amchukue mchezaji huyo ili aweze ongeza nguvu katika safu ya mashambulizi ya timu yake na kuinusuru timu hiyo isishuke daraja tena.

Chanzo: The Sun.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: