Peter Cech asaini miaka minne Chelsea.


Petr Cech

Kipa wa Chelsea Peter Cech amesaini miaka minne katika klabu hiyo.
Kipa huyo alijiunga na Chelsea mwaka 2004 na amecheza mechi nyingi katika timu hiyo kuliko wachezaji mwingine yoyote wa kigeni (amecheza mechi 369) na ameweza pata vikombe vitatu (3) vya ligi, vikombe vinne (4) vya FA, vikombe viwili (2) vya Carling Cup na UEFA.

Cech alisema, ” Ninafurahi sana kuwa mchezaji katika timu kubwa kama hii kwa miaka minne mingine. Natarajia miaka minne ijayo hiyo itakuwa yenye mafanikio kama ilivyokuwa miaka nane niliyokaa klabuni hapa”

Kiongozi wa Chelsea Gourlay Ron alisema,
“Chelsea tunashukuru sana kwa mchango mkubwa ambao Petr ameutoa kwa klabu hii na tunafurahi kuendelea kuwa nae mchezaji mwenye uwezo kama wa Cech mpaka 2016.”

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: