Mourinho amtaka Drogba.


Didier Drogba na Jose Mourinho

Didier Drogba anafikiria kujiunga na kocha wake wa zamani Jose Mourinho Real Madrid.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 anatakiwa na mabingwa hao wa Hispania na maongezi yanafanyika ili kufikia maelewano ya Drogba kuweza kujiunga na Madrid kwa mkataba wa miaka Miwili.

Mchezaji huyo aliyewasaidia Chelsea kuweza pata kwa mara ya kwanza Ubingwa UEFA ,aliletwa klabuni hapo na kocha Jose Mourinho mwaka 2004. Mourinho amepewa mamlaka ya kumsajili amtakae na kwa vile Drogba ni mchezaji huru basi maelewano yanawezekana yakawa rahisi.

Mwanzo ilikuwa inajulikana kuwa Drogba angeelekea Uchina lakini sasa safari hiyo inaonekana kuota mbawa.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: