Madrid wamfukuzia Hulk.


Hulk wa pili kulia

Porto wanajiandaa kumpoteza mshambuliaji wao Hulk kwa klabu za Madrid na Chelsea.

Msemaji wa Hulk ameelekea Uingereza kuongea na klabau karibia nne (4) lakini akasema ya kuwa Jose mourinho anamfuatilia kwa karibu sana mteja wake.

Kocha huyo wa Real Madrid alikuwa ujerumani kuwaangalia Brazil wakicheza na Denmark, huku habari za karibu zikisema kuwa alikuwa akimuangalia mchezaji huyo ili aweze fanya mipango ya kumsajili.

Pia Klabu nyingi Uingereza zinamtaka Hulk zikiwemo Klabu za Tottenham,Liverpool na klabu zote za Manchester lakini msemaji wake Fonseca amesema Chelsea ndo Klabu anayoitaka mteja wake.

Chanzo: Dailymail.
 

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: