J.Cole agoma kuondoka Liverpool.


Cole

J.cole angependa sana kurudi Liverpool na kuweza kupewa nafasi acheze ili aonyeshe ni uwezo gani aliokuwa nao.

Mchezaji huyo alikuwa na msimu mbovu baada ya kujiunga na Liverpool akitokea Chelsea mwaka 2010 lakini mambo yakabadilika baada ya kwenda klabu ya Ufaransa ya Lille kwa mkopo na akaweza kuisaidia klabu hiyo ya Lille kumaliza nafasi ya tatu (3) huku akifunga magoli tisa (9) katika mechi 42 lakini bado anashauku ya kurudi Liverpool na kuonesha ya kuwa anauwezo wa kuisaidia timu hiyo.
Cole aliendelea kwa kusema,
“Ningefurahi kupata nafasi nyingine ya kucheza Liverpool kama hao wenyewe watataka niwachezee, nimepata mafanikio West Ham,Chelsea na Ufaransa (Lille), uamuzi wanao wenyewe Liverpool kama watataka tuwe pamoja au laah! Kenny ni mtu mzuri sana aliniambia mapema kabisa ya kuwa sikuwa katika mipango yake lakini kuondoka kwake maanayake nafasi yangu inaweza ikawepo”

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: