Hazard atua Chelsea.


Eden Hazard katika jezi ya Chelsea

Mmiliki wa Chelsea Abramovich amelipa kiasi cha paundi millioni 32 ili kuweza kumpata mchezaji huyo toka timu ya Lille ya Ufaransa. Mchezaji huyo amesaini mkataba utakao mkalisha Chelsea kwa mda wa miaka mitano (5).

Uchaguzi huo alioufanya Hazard umekuwa pigo kwa klabu za Man City na Man Utd. Kama ilivyokuwa ikujulikana ni kwamba Chelsea ilikuwa inashindana na klabu hizo mbili za kutoka Manchester na baada ya kufanya maamuzi Chelsea ndio imeibuka kidedea.

Eden Hazard Twitter

“Ninajiunga na mabingwa wa Champion Leagu” alisema Hazard kupitia mtandao wa twitter.

Habari zaidi zinadai ya kuwa Hazard ameondoka katika kambi ya timu yake ya taifa na kuelekea kunako jiji la London kwa ajili ya kusaini mkataba huo na Chelsea.

Chanzo: Daily Mirror.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: