Bayern wamfukuzia Dzeko.


Edin Dzeko

Bayern wamfuatilia mshambuliaji wa Timu ya Man City Edin Dzeko na wako tayari kutoa paundi millioni 20 kwa ajili ya kumpata.

Kufungwa kwa Bayern katika Finali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na Chelsea Bayern wameamua kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji kwa kumchukua Dzeko.

Mchezaji huyo hivi karibuni alikiri ya kuwa siku zake za kuwa mchezaji wa Man City zimekwisha na kurudi katika ligi ya Bundasliga ambako ndipo alipokuwa akicheza kabla ya kuja Man City ni swala amabalo linawezekana.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: