Arsenal yahamia kwa De Jong.


Nigel de Jong kulia

Arsene Wenger amehamisha mbio zake kwa kiungo wa Man City Nigel de Jong baada ya jitihada zake za kumsajili kiungo Yann M’Vila kugonga ukuta.

Wenger anataka kuimarisha nafasi ya kiungo baada ya Wilshere, Aaron Ramsey na Mikel Arteta kuupata majeruhi.

Jitihada za kumsajili M’Vila ziligonga ukuta baada ya Rennes timu ya M’Vila kutaka paundi millioni 17 na sasa Arsenal wamehamisha jitihada zote kwa kiuongo wa Man City De Jong.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: