Yakubu kuihama Rovers.


Yakubu Aiyegbeni

Mchezaji Yakubu Aiyegbeni ambaye ni mchezaji wa Timu ya Blackburn amesema anafikiria kuihama Timu hiyo kutokana na kushuka kwake daraja msimu huu.

Blackburn wanatarajia ya kuwa watawapoteza wachezaji nyota wengi kutokana na kushuka kwao daraja msimu huu na mshambuliaji wa Yakubu ni miongoni mwa watakaondoka pia.

Yakubu ambaye ni mchezaji wa zamani wa Everton na Portsmouth amesema anafurahaa kukaa Blackburn lakini hayupo tayari kucheza daraja la pili.

” Nimebakiza miaka miwili katika mkataba wangu hapa Blackburn lakini kucheza daraja la pili hilo ni swala ambalo sitoweza. Nikiwa Blackburn najihisi niko nyumbani, kwa hiyo ni mapema sana kusema ni nini kitatokea hebu tusubiri tuone” alisema Yakubu.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on May 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: