Upangaji matokeo ITALIA wazuka tena.


Antonio Conte

Nahodha wa Timu ya Lazio Stefano Mauri na kiungo wa zamani wa Genoa Omar Milanetto ni miongoni mwa watuhumiwa 19 waliokamatwa na Polisi kwa ajili ya upelelezi kuhusiana na Upangaji matokeo nchini Italia.

Kocha wa Juventus Antonio Conte na beki wa Italia katika mashindano ya EURO 2012 Domenico Criscito nao pia wamehojiwa kuhusiana na kesi hiyo.

Polisi wamesema ya kuwa wamesachi nyumba 30 za wachezaji, makocha na viongozi wa Timu za Italia za ligi daraja la kwanza na la pili kuhusiana na upangaji matokeo na pia Polisi katika mji wa Cremona wamesema walikuwa wanamkagua na kumchunguza Conte (kocha wa Juve) kutokana na Ushindi wake alioupata wa kunyakua kombe la ligi ya Italia.

“Uchunguzi wa karibu umeonesha ya kuwa kuna upangaji matokeo ambao umetokea katika msimu wa 2010-11 ambao unahusu mechi kati ya Lazio na Genoa, Lecce na Lazio” polisi anayehusika na uchunguzi alisema.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: