Tetesi za tarehe may,28.


 • Tevez

  AC Milan wanataka mnunua mshambuliaji wa Man City Carlos Tevez.
  Chanzo: talkSPORT.

 

 

 

 

 • Bendtner

  Mshambuliaji wa Arsenal Nicklas Bendtner amesema ya kuwa yupo katika maongezi na klabu zaidi ya moja.
  Chanzo: talkSPORT.

 

 

 

 • Liverpool wameongea na mchezaji wa Timu ya Sochaux Ryad Boudebouz kwa ajili ya kumsajili winga huyo ili atue Anfield.
  Chanzo: Inside Futbol

 

 • Mugabe

  Robert Mugabe,Raisi wa Zimbabwe amedhihirisha wazi kuwa yeye ni shabiki wa Chelsea baada ya Timu hiyo kunyakua ubingwa wa Champions League.
  Chanzo: Metro.

Advertisements

Posted on May 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: