Madrid yamfuata Ivanovic.


Ivanovic

Beki wa Chelsea Branislav Ivanovic amesema ya kwamba anafahamu timu ya Hispani Real Madrid inasemekana inattaka msajili na kwamba habari hizo ni za kweli.

Kocha wa Madrid Jose Mourinho inasemekana anavutiwa sana na uchezaji wa beki huyo na angependa ampate mchezaji huyo ili amchezeshe aidha kama beki wa kati au wa kulia.

Ivanovic amekuwa mchezaji muhimu kwa Timu ya Chelsea tokea alipohamia kutoka Lokomotiv Moscow mwaka 2008 na akaisaidia Chelsea kupata Vikombe vya FA na UEFA mwaka huu.

Baada ya mechi ya kirafiki kati ya Serbia na Hispania  Ivanovic alisema ” Ndio najua mengi yamesemwa kuhusu mie na kwamba Madrid wananitaka lakini huu sio muda wa kuongelea maswala hayo, akili yangu na mawazo yangu yote nimeyaelekeza katika Timu yangu ya Taifa na kwa kweli  ninafuraha Chelsea maana juzi tu tumetoka shinda UEFA kwa hiyo swala la kubadilisha timu halipo akili mwangu kwa sasa.

Chanzo: Skysports.

Advertisements

Posted on May 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: