Liverpool yamtaka Boudebouz.


Ryad Boudebouz

Kiungo wa Timu ya Sochaux Ryad Boudebouz amesema ya kuwa Liverpool ni miongoni mwa klabu ambazo zinamfuata.

Kiungo (winga) huyo ambaye ansifika sana katika ligi ya ufaransa amesema ya kuwa klabu nyingi zinamuhitajia na miongoni mwao no Liverpool,Lyon,Lille na Marseille.

Winga huyo mwenye umri wa miaka 22, jumamosi alishiriki katika mechi ya kirafiki kati ya Timu yake ya Taifa ya Algeri dhidi ya Niger na akasema ” Ukweli ni kwamba msemaji wangu anaongea na timu nyingi hasahasa za palepale ufaransa lakini hakuna maelewano yaliofanyika na pia Timu ya Liverpool nao pia wapo katika maongezi na msemaji wangu lakini kama nlivyosema hakuna makubaliano yaliofanyika mpaka sasa”.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on May 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: