Ramsey- RVP Muhimu.


Ramsey

Kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey anaamini Arsenal wanaweza shinda ligi ya Uingereza endapo tu Van Persie atabakia na akasisitiza ya kuwa Van Persie mpaka sasa hajasema maamuzi yake.

Van Persie amewasaidia Arsenal kuweza cheza Champions League msimu ujao na amefanya hivyo kwa kufunga magoli 30 msimu huu. Pamekuwa na tetesi ya kuwa Van Persie anataka kuihama Arsenal ili kwenda mahala ambako atapata Vikombe lakini Ramsey anasisitiza ya kuwa hakuna haja ya kuhama kwani hapohapo Arsenal vikombe vitapatikana.

“Ni muhimu Arsenal kumbakiza Robin kama Arsenal kweli inataka shinda kitu chochote msimu ujao, amethibitsha msimu huu kwamba ni kiasi gani anavyoweza kuisaidia timu kutokana na magoli muhimu aliyotufungia.Ni muhimu sana kwa timu kutunza wachezaji muhimu kama Robin alivyo kwetu, Mpaka sasa hajamwambia mtu yoyote ni nini maamuzi yake ila natumai atabakia”. Alisema Ramsey.

Chanzo: Skysports.

Advertisements

Posted on May 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: