Mnaigeria Akpala aitaka Premier League.


Joseph Akpala

Mchezaji toka Nigeria ambaye pia ni mshambuliaji wa Timu ya Brugge Joseph Akpala, amesema hajapata ofa yoyote toka klabu za Uingereza lakini ofa zikija hatoziachia.

Mchezaji huyo toka Nigeria ambaye anafuatiliwa kwa karibu na klabu ya West Brom na West Ham, anasema anfurahishwa na kuskia kwamba klabu toka Uingereza zinamfuatilia na kumfikiria kumnunua na kwamba anaisubiria kwa hamu fursa hiyo ya kucheza Uingereza.

“Ningependa sana kucheza katika Premier League siku mojana niwe nafunga magoli kila wiki, hakuna timu iliyoleta maombi bado na hata hivyo klabu yangu ya Brugge bado yanihitaji” alisema Akpala.

Chanzo: Skysports.

Advertisements

Posted on May 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: