Kompany ajifunga kitanzi.


Vincent Kompany

Mchezaji wa Man City Vicent Kompany amesema hana mpango wa kuihama timu hiyo na kwamba anataka akae Man City kwa mda mrefu tu.

Tokea alipoisaidia Man City kunyakuwa ubingwa wa Uingereza pamekuwa na tetesi ya kuwa Timu kubwa nyingi za Ulaya zameanza mfuatilia kwa karibu beki huyo toka Ubelgiji, lakini Kompany hakuchelewa kuwapa mashabiki wa Man City faraja kwa kusema hana mpango wa kuihama Timu hiyo na kuwa atakuwepo hapo kwa mda mrefu.

Kompany anaamini kunyakua Ubingwa wa Uingereza kutaipelekea Timu yake kujiamini na kuweza kuunyakua Ubingwa wa Ulaya (UEFA).

“Nina furaha na wala sina matatizo na Man City ingawaje watu wengi wanaongelea swala la mie kuondoka,ila ukweli ni kwamba mie siondoki na wala sina mpango huo. Man City ndo kwanza inaanza kuonyesha uwezo wake na hatutaki kuishia kunyanyua Ubingwa wa Uingereza tu ila mpaka wa Ulaya. Nina imani baada ya miaka mitatu mpaka minne Man City itakuwa ni klabu kubwa sana” alisema Kompany.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on May 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: