Juventus yamsajili Caceres.


Martin Caceres

Beki toka Uruguay Martin Caceres amesaini mkataba wa miaka minne (4) na mabingwa wa Italia Juventus.

Beki huyo toka Uruguay mwenye umri wa miaka 25 amesaini mkataba na Juve akitokea klabu ya Sevilla.

Paundi milioni 6 imetosha kumuweka beki huyo katika klabu hiyo mpaka mwaka 2016.

Beki huyo alitua Juve akitoka Sevilla kwa mkopo lakini baada ya kuonyesha matunda Juve wakamua msaini moja kwa moja.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on May 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: