Aquilani aelekea Forentina..?


Alberto Aquilani

Kiungo wa timu ya Liverpool Alberto Aquilani anaweza akajiunga na timu ya Italia ya Fiorentina asema  msemaji wa mchezaji huyo.

Kiungo huyo msimu ulioisha alikuwa kwa mkopo katika klabu ya AC Milan ambako mkataba ulionesha timu hiyo ya Milan ingeweza msajili lakini mambo yameenda kombo na kuna asilimia kubwa Milan isimsajili mchezaji huyo.

Aquilani alitaka ajiunge na klabu hiyo ya Fiorentina mwaka jana lakini Franco Zavaglia (msemaji wa Aquilani) amemlaumu Mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Friorentina Pantaleo Corvinho kuwa ndo aliyetilia ngumu uhamisho huo usifanyike. Hata hivyo Mkurugenzi huyo hayupo sasa,ameingia Mkurugenzi mpya aitwaye Daniele Prade.

“Mkurugenzi mpya wa Fiorentina Prade, tunaheshimiana sana na kilichobakia ni kuongea na Liverpool tu” alisema Zavaglia.

Chanzo:Skysports

Advertisements

Posted on May 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: