Tetesi za Mei,26.


 • Eden Hazard

  Mshambuliaji toka Ubelgiji Eden Hazard, ambaye anafuatiliwa kwa karibu na Man Utd,Man City na Chelsea, mchezaji huyo ameamua kuichagua klabu ya Man Utd ndo Klabu atakayo chezea msimu ujao.
  Chanzo: Caughtoffside.com

 

 

 • Powell

  Sir Alex Ferguson anataka msajili mchezaji toka Crewe aitwaye Nick Powell mwenye umri wa miaka 18 kwa ada ya paundi mil 4.
  Chanzo: Daily Mail.

 

 

 

 

 

 • Dost

  West Ham wametoa ofa ya paundi mil 7 kwa klabu ya Heerenveen ili kuweza msajili mshambuliaji Bas Dost mwenye umri wa miaka 22, Mchezaji huyo kafunga magoli 32 katika mechi 34 msimu huu ulioisha.
  Chanzo: the Sun.

 

 

 

 

 • Clint Dempsey amewashtua mashabiki wa Fulham kwa kuliambia gazeti la American magazine Sports kwamba anataka cheza Champions League.
  Chanzo:London Evening Standard.

 

 • Rosales

  Newcastle pamoja na Porto wanamgombania beki wa kulia wa FC Twente Roberto Rosales mwenye umri wa miaka 23.
  Chanzo: Newcastle Chronicle

 

 

 

 • Wigan wanataka mfanya Steve Bruce awe kocha wao endapo Roberto Martinez ataondoka.
  Chanzo: Daily Mirror.

 

 • Ferguson

  Sir Alex Ferguson atastaafu mwisho wa msimu ujao asema Dave Whelan mmiliki wa Wigan ambaye ni rafiki wa karibu wa Ferguson.
  Chanzo: Daily Mail

Advertisements

Posted on May 26, 2012, in Mpira, Tetesi. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: