Mourinho kurudi Premier League.


Mourinho

Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho amesema Uingereza ndo mahala panakomfaa na chochote chaweza tokea. Maneno haya yamesemwa na kocha huyo ambaye juzi tu amtoka kusaini mkataba mpya na Real Madrid.

Mourinho alikuwa anaongea katika ukumbi wa mikutano katika mji Mkuu wa Uturuki Ankara na kuelezea ya kwamba mashabiki wa Hispania na wa Uingereza ni tofauti sana na kusema hiyo ndo mojawapo ya sababu ya yeye kumfanya atake kurudi Uingereza.

“Nimesaini mkataba na Real Madrid mpaka mwaka 2016 lakini kwa Timu kama Real Madrid ukipoteza mechi hata mbili hawatosita kuuvunja mkataba, ifikiapo mwaka 2016 binti yangu atakuwa anaanza Chuo na nataka nimtafute Mji mzuri ambao mwanangu atapatia elimu yake. Uingereza watu hawakufuatilii maisha yako kama Hispania na Italia na mie nahitaji kuilinda Familia yangu na mambo kama hayo.” alisema Mourinho.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: