Guardiola amaliza kwa kikombe cha 14.


guardiola (katikati)

Barcelona wameshinda kombe la mfalme kwa mara ya 26 jana kupitia magoli yaliofungwa na Pedro na Messi dhidi ya Athletic Bilbao,wakiongoza na kocha wao mstaafu Guardiola.

Kwa Guardiola ilikuwa ni kombe lake la 14 kulipata akiwa na Barcelona kama kocha, ambako ameifundisha timu hiyo kwa mda wa miaka minne.

Guardiola alitaka apumzike kuwa kocha kwa mda kama wa mwaka mmoja hivi lakini jana akasema ya kuwa kama kuna timu itakuja na kuweza kumshwawishi basi ataweza ifundisha.. Usemi huo umemfanya mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich kuanza fanya mipango yakutaka mleta kocha huyo katika klabu yake ya Chelsea.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: