Gattuso aitaka Rangers.


Gennaro Gattuso

Gattuso amesema yupo tayari kujiunga na klabu ya Scotland ya Rangers.

Muitaliano huyo mwenye umri wa miaka 34 aliyekuwa akiichezea klabu ya AC Milan amesisitiza ya kuwa hana mpango wa kujiunga na klabu yoyote nyingine ya Italia na akiendelea kusema ya kuwa anajiandaa kurudi zake timu yake ya zamani ambayo alishawahi kuichezea ya Rangers.

Gattuso ameoa mwanamke wa kiscotland na sasa anachosubiri ni kuongea na uongozi wa Rangers ili alrudi katika klabu yake ya zamani.

“Kazi yangu Italia imemalizika. Baada ya kukaa miaka 13 AC Milan, kwa kweli sipo tayari kuvaa jezi yoyote nyingine ya timu  ambazo ziko Italia. Nimeshaongea na Glasgow Rangers ingawaje kwa muda huu hawapo sawa kifedha ila Rangers ndio mahala ambako maisha yangu ya mpira yalianzia na ndipo Familia yangu ilipo.”

Chanzo: Skysports 

Advertisements

Posted on May 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: