Ferguson msimu ujao aachia ngazi..?


Sir Alex Ferguson

Rafiki mkubwa wa Sir Alex Ferguson ambaye ni mmiliki wa Wigan Dave Whelan amesema Alex ataachia ngazi mwisho wa msimu ujao.

Mwanzo Ferguson alisema yakuwa anatarajia kuiongoza Man Utd kwa mda wa miaka mitatu zaidi lakini kigezo kikubwa atakachokuwa anakiangalia kitakuwa ni afya yake.

Wiki iliyopita Alex alipelekwa hospitali na ambyulensi baada ya kutokwa damu nyingi puani na kupelekea rafiki yake Whelan kusema ya kuwa Alex msimu ujao ataachia ngazi.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: