Tetesi za tarehe 25/05/2012


 • Dani Alves

  Manchester City inasemekana inataka msajili mchezaji wa Bacelona Dani Alves mwenye umri wa miaka 29 na tetesi zinadokeza kuwa wanataka toa paundi million 12 pamoja na Aleksandar Kolarov ili kumpata Alves.    Chanzo: talkSPORT

 

 

 

 

 • Shinji Kagawa (kushoto)

  Manchester United wametoa kiasi cha paundi millioni 13 kwa klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund kwa ajili ya kuweza kumpata mchezaji wao Shinji Kagawa mwenye umri wa miaka 23.    Chanzo: Daily Mail

 

 

 

 • Jan Vertonghen

  Tottenham wanakaribia kumsajili beki wa katikati aitwaye Jan Vertonghen mwenye umri wa miaka 25 tokea klabu ya Ajax kwa ada ya paundi millioni 9.6.    Chanzo: The Guardian

 

 

 

 

 • Olivier Giroud

  Arsenal wako tayari kuongea na klabu ya Ufaransa ya Montpellier kwa ajili ya mshambuliaji wao Olivier Giroud kwa kutoa ada ya paundi millioni 6.4 pamoja na Marouane Chamakh ili kumpata mshambuliaji huyo wa Montpellier.   Chanzo: The Metro

 

 

 

 • Roberto Martinez na Dave Whelan

  Mwenyekiti wa Wigan amemuonya kocha wake Roberto Martinez kufikiria kwa makini swala la kujiunga na Liverpool hali ya kuwa atakuwa akifanya kazi chini Mkurungezi wa Mpira.   Chanzo: Daily Mirror  

 

 

 

 

 • Capello

  Fabio Capello amekataa kujiunga na Liverpool ili kuwa kocha wao ila bado anatamani na kusubiri kama ataweza pata kibarua Chelsea.                                                                                 Chanzo: Daily Mail

 

 

 

 

 • Roberto Di Matteo

  Kocha wa muda wa Chelsea Roberto Dimatteo anawindwa na Klabu ya Napoli ya Italia ili wamfanye awe kocha wao.   Chanzo: talkSPORT

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Tetesi. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: