Sigurdsson abakia Swansea..


Sigurdsson

Inasemekana Swansea wamekubaliana na timu ya Ujerumani Hoffenheim katika kumsajili moja kwa moja Kiungo Gylfi Sigurdsson aliyekuwa hapo kwa mkopo.

Sigurdsson aliyejiunga na Swans kwa mkopo akitokea Hoffenheim na kuweza kuwa mchezaji tegemeo katika kikosi cha Swans na kupelekea hadi Swans kuamua kufanya usajili wake wa mkopo kuwa wa moja kwa moja.

Inasemekana bei ambayo Swans wamekubaliana na Hoffeinheim ni fedha inayokaribia paund million 7 kiasi hicho cha fedha hakijawahi tolewa na Swans katika usajili wa mwaka wowote kwa hiyo usajili wa kiungo huyo utakuwa umevunja rekodi.

Chanzo: skysports

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: