Mchezaji wa Liverpool ajiunga Preston..


David Amoo

Preston wamemnunua mchezaji David Amoo mwenye umri wa miaka 21 kutoka Liverpool ambaye amekuwa mchezaji huru baada ya Liverpool kumtompa mkataba mpya..

Amoo amewahi kuchezea klabu za Bury, Hull na MK Dons zote kwa mkopo akitokea Liverpool.

Amoo nimiongoni mwa wachezaji waliotoka katika academy ya Liverpool lakini hajafanikiwa kupenya katika timu ya wakubwa.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: