Maskini AVB….


AVB

Andre Villas-Boas anatafuta kazi kwa udi na uvumba mpaka imefikia hatua amepeleka maombi katika Timu ya Ubelgiji ya Anderlecht.
Kocha huyo wa kireno alikufingishwa viroba na Chelsea,ambako mpaka sasa anahaha barani Ulaya kuhangaika kupata kazi katika klabu.
Uombaji huo wa kazi aliofunya AVB umewashtua wengi mpaka timu yenyewe ya Anderlecht ingawa wanafurahi AVB kuwataka,sema tatizo litakuja katika maswala ya malipo ambako AVB anahitaji mshahara mkubwa sana ambao Anderlecht hawatoweza lipa.

Chanzo: Dailymail

 

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: