Malouda hataki kuhama…


Florent Malouda

Kiungo wa Chelsea Florent Malouda amesisitiza ya kuwa atabakia katika klabu ya Chelsea mbali na tetesi nyingi kusema kuwa ataondoka Stamford Bridge msimu huu.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amepata kombe la FA Cup na UEFA Champions League akiwa na timu hiyo ya Chelsea amesema anataka kushinda vikombe zaidi kwa kuanza na UEFA Super Cup ambako kulipata kwake itabidi wacheze na Mabingwa wa Europa League Athletico Madrid amabako itakuwa mwezi wa nane.

“Katika miaka mitano nliyokuwepo hapa Chelsea, nimefanikiwa kupata Vikombe vitano na hiyo ndo sababu iliyonleta hapa, kushinda vikombe na kuwa mshindi, kikubwa kwangu ni subira na kujitahidi ili kuweza mdhihirishia kocha kuwa nastahili kucheza na sio kukaa benchi”

Chanzo: skysports

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: