Hazard ni Man utd, City au Chelsea..


Eden Hazard

Eden Hazard ameweka wazi ni timu ipi atakuwa msimu ujao kwa kusema ya ni kati ya Manchester City, Manchester United au Chelsea.
Mchezaji huyo wa Ubelgiji anayechezea klabu ya Lille ya Ufaransa amesema atafikia muafaka wa klabu ipi ataichagua kuichezea msimu ujao katika wiki zijazo na kikubwa atakachokiangalia ni wapi ambako atakuwa anacheza kila wiki na sio kukaa benchi..
“Sijajua ni lini uamuzi wa kuchagua klabu ambayo ntaichezea msimu ujao utafanyika ila utakuwa ni kati ya Man utd, Man City na Chelsea na bila shaka kikubwa ni mie kuweza kucheza na sio kukaa benchi kwa hiyo hicho ndo kianagalio kikubwa kwangu” alisema Eden Hazard.

Chanzo: Skysport

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: