Guardiola arudi uwanjani..


Guardiola

Aliyekuwa kocha wa Barcelona Pep Guardiola ambaye aliisimamia timu hiyo kwa mara ya mwisho leo ijumaa dhidi ya Athletic Bilbao kuwania Kombe la Copa Del Rey ameamua yakana maneno yake ya kukaa mwaka mmoja bila kufundisha timu yoyote.
Kocha huyo amegeuza maneno yake ya kuwa hatokaa mwaka mmoja kusubiri kuwa Kocha tena ila yupo tayari mda wowote atakapofuata na Klabu itakayomuhitaji.
“Ntakuwa tayari pindi kama kuna Klabu itanihitaji” alisema Guardiola.

Kauli hiyo inawafanya Timu ya Chelsea kuingiwa na kiwewe cha kutaka kumpatia mikoba ya ukocha Guardiola kufuatia kufukuzwa kwa AVB klabuni hapo, Ingawaje mashabiki wengi wa Chelsea wanataka Roberto Di Matteo ndo awe kocha lakini mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich yeye macho yake yapo kwa Guardiola.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: