Berbatov aondoka Man utd..?


Berbatov

Muongeaji (Emil Danchev) wa mchezaji wa Man Utd Dimitar Berbatov amesema Berbatov amepata ofa toka PSG na yupo tayari kujiunga nao.

Berbatov mchezaji anayetokea Bulgaria yuko mbio kutafuta timu itakayo weza mfanya aweze cheze kila siku na sio kukaa benchi kama ilivyokuwa Man Utd.

Berbatov mwenye umri wa miaka 31 ameweza cheza mechi chache sana msimu huu na kocha wa Man Utd Sir Alex Ferguson amesema yuko tayari na anafikiria kumuacha mchezaji huyo atafute timu nyingine.

Mwanzo ilisemekana angeenda Bayer Leverkusen lakini sasa yaonekana safari inaiva ya kwenda Ufaransa.

Emil Danchev alisema ” ukweli ni kwamba PSG ndo klabu ambayo mteja wangu anaweza akajiunga nayo kwa asilimia kubwa kwa kuwa wapo katika mashindano ya UEFA Champions League”.

Chanzo: skysports

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. bora asepe….

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: