Aurelio arudi Brazil.


Aurelio

Timu ya Gremio ametangaza ya kuwa beki wa kushoto wa Liverpool Fabio Aurelio amejiunga na timu hiyo kwa  mkataba wa miezi 18, hii ni baada ya Liverpool kutompa mkataba mwingine  Aurelio na kumfanya awe mchezaji huru.

Aurelio amechezea timu ya Liverpool kwa mda wa miaka 6 na katika kipindi chote hicho Aurelio amekuwa akisumbuliwa na majeruhi sana.
Sasa ameamua rudi nchini kwake Brazil katika klabu ya Gremio.

Chanzo: skysport

Advertisements

Posted on May 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: