Tetesi za tarehe 24/05/2012


 • lucas (sao paulo)

  lucas (sao paulo)

  Ofa ya paundi million 32.4 ya Chelsea kwa kiungo wa kibrazil Lucas Moura (Sao paulo) yakataliwa na Rais wa klabu hiyo ya Sao Paulo aitwaye Juvenal Juvenico.

 

 

 

 

Olivier-Giroud

Olivier Giroud

 • Manchester utd waandaa kitita cha hela kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji wa timu ya Montpellier Olivier Giroud mwenye umri wa miaka 25 kabla mashindano ya uero hayajaanza.

 

 

 

 • Kocha wa Man City Roberto Mancini amekanusha madai ya kuwa timu yake yataka muuza aidha Tevez au Balotelli kwa ajili ya kumpata Thiago Silva wa AC-Milan .
 • Mshambuliaji wa timu ya Porto Hulk anataka ahamie Chelsea ili aweze ziba pengo linaloachwa na Drogba. Porto wanataka kiasi cha paundi milioni 38 lakini Chealsea wapo tayari kutoa 30 tu.
 • Everton wapo tayari kuanza mtafuta beki atakayeziba pengo la Leighton Baines ambaye kunauwezekano mkubwa sana akahamia Manchester United. kocha wa everton Moyes amedokeza beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Aly Cissokho, 24 ndo anaweza akaziba pengo hilo.
 • robben

  robben

  Nahodha wa timu ya Taifa ya Uholanzi Mark van Bommel amemshauri Arjen Robben aihame Bayern Munich baada ya kuzomewa na mashabiki wa Bayern katika mechi ya kirafiki kati ya Uholanzi na Bayern.

 

 

 • Manchester United wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Napoli na Argentina Ezequiel Lavezzi ambaye anapatikana kwa paundi millioni 25.
 • Ryo-miyaichi

  Ryo-miyaichi

  Bolton wanafanya mikakati ya kuongea na Arsenal ili kufanikisha kumpata Ryo Miyaichi wakiwa na imani kuwa atawasaidia kuirudisha timu hiyo katika ligi kuu ya uingereza msimu ujao.

 

 

 

 

 • fernando_torres

  fernando_torres

  Fernando Torres mshambuliaji wa Chelsea amehakikishiwa kuwa msimu ujao yeye ndo atakuwa chaguo la kwanza katika washambuliaji na sio kusugua benchi tena.

 

 

 •  Man City imevunja rekodi ya klabu iliyopata hasara nyingi kwa msimu mmoja. Paundi millioni 197 ndio hasara walioipata Man City msimu uliopita.

 

Source: BBC Sport

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Tetesi. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: