Nsa Job anaswa na Costal Union


Nsa Job (Kulia)

BAADA ya mvutano muda mrefu, Nsa Job amefikia mwafaka na Coastal Union ya Tanga kwa ajili ya kuichezea katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Habari kutoka ndani ya Coastal Union, zinaeleza kuwa viongozi wa timu hiyo na Nsa walifikia makubaliano hayo wikiendi iliyopita.
Nsa aliyekuwa Villa Squad iliyoshuka daraja, awali alitaka kulipwa dau la Sh20 milioni.

Viongozi wa Coastal waligoma wakimtaka ashushe dau na haijafahamika sasa wamekubaliana kwa dau la kiasi gani na mchezaji huyo wa zamani wa Yanga.

Nsa aliyemaliza msimu kwa mabao 11, hakutaka kuweka wazi suala hilo alipoulizwan na Mwanaspoti.

Chanzo: Mwanaspoti

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Bongo, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: