Michu kwenda Manchester Utd…


Michu (kushoto)

Mchezaji wa timu ya Rayo Vallecano Michu mwenye umri wa miaka 26 ndio kiungo aliyefunga magoli mengi katika ligi ya Hispania msimu wa 2011-2012 na kutokana na tatizo la kifedha la klabu yake inaweza pelekea akauzwa kwa bei ya Paundi Milioni 2.

Ameweza kufunga magoli 17 katika Mechi 39 alizocheza msimu huu. Wakaguzi wa vipaji toka Manchester utd wamekuwa wakimfuatilia na kumuangalia kwa ukaribu kiungo huyo na kuna uwezekano mkubwa akasajiliwa nao.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: