Martinez akaribia ukocha Liverpool..


Roberto Martinez

Mwenyekiti wa timu ya Wigan Dave Whelan amethibitisha ya kuwa Martinez amesafiri kwenda marekani kongea na Mabosi wa Liverpool kwa ajili ya kumalizia hatua za kumfanya Martinez kuwa kocha wa Liverpool.
Muhispania huyo alikuwa likizo katika visiwa vya Caribbean kabla ya kupanda ndege na kuelekea Marekani kuongea na Fenway Sports Group (wamiliki wa liverpool).
“Nliongea na Roberto asubuhi na kutaarifiwa ya kuwa ansafiri kuelekea Miami kuongea na Mabosi wa Liverpool” alisema Dave Whelan kuwaambia ESPN.

Martinez anatarajiwa kurudi jumanne nchini uingereza huku kocha wa zaman wa Chelsea na Porto AVB aliyekuwa akifikiriwa kuweza kuwa ndo kocha mbadala wa Kenny Dalglish,uwezekano huo wazikizidi pungua baada ya Martinez kuitwa Marekani na FSG.
Van Gaal kocha wa zamani wa Bayern Munich ambaye tetesi zinasema angekuwa Mkurugenzi wa Mpira wa Liverpool nae ataka awe Meneja badala ya kuwa Mkurugenzi.
Kwa hiyo mpaka hatua hii Liverpool haina Meneja wala  Mkurugenzi wa Michezo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: