Man City kusajili mchezaji wa Athletic Bilbao..?


Timu ya Man City inanafasi kubwa ya kumsajili beki wa Athletic Bilbao

javi martinez

javi martinez

Javi Martinez ambaye anaweza patikana kwa ada ya paundi millioni 24. Martinez anauwezo wa kucheza kama beki na kama kiuongo mkabaji, lakini Man City hao wanampango wa kumchezesha pamoja na Kompany kama walinzi.Hivyo mechi ya ijumaa kati ya  Athletic Bilbao na Barcelona ndo itakuwa mechi yake ya mwisho na itambidi aamue anataka awe wappi msimu ujao.

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: