Kifo Cha Mmiliki wa Man Utd


Malcom Glazer

Man Utd wametangaza kuwa tetesi zivumazo katika intaneti (hasa twitter) kuhusu kifo cha Glazer ni uzushi. Inasemekana account nyingi za twitter zimeripoti kuwa Glazer amefariki dunia. Habari hizo zimesambazwa kutoka chanzo kimoja huko marekani.

Hata hivyo Man Utd wamekanusha uvumi huo kuwa sio wa ukweli.

Chanzo: Daily Mail

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: