Kichwa Chamuuma Hodgson


Roy Hodgson akiwa anaongea na Glenn Johnson

Roy Hodgson kwa mara ya kwanza amesimamia mazoezi ya timu ya taifa ya Uingereza. Wakati wa mazoezi hayo Glenn Johnson aliumia na inaweza kupelekea akashindwa kucheza katika mechi za UERO. Beki anayeweza kuchukua nafasi ya Johnson ni Martin Kelly wa Liverpool, kutokana na Hodgson kuwaacha Micah Richards na Kyle Walker.

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: