Doumbia kuchukua nafasi ya Drogba…


Doumbia

Chelsea wataka msajili mshambuliaji wa CSKA Moscow Seydou Doumbia mwenye umri wa miaka 24 ambaye inasemekana bei yake inakaribia Paundi Milioni 26. Doumbia ni Muivory Coast ambaye amechezea timu yake ya Taifa akiwa pamoja na  wachezaji wa Chelsea Drogba na Kalou ambao wote wanaondoka Chelsea katika msimu huu wa kiangazi.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: