Dirk Kuyt aelekea Hamburg…


Kuyt

Klabu ya Hamburg imetangaza kumtaka mshambuliaji wa timu ya Liverpool ambaye naye pia ameonesha nia ya  kwenda Klabu hiyo ya Hamburg iwapo kama kocha mpya atakayechaguliwa atakuwa hana  mpangonae kama ilivyokuwa msimu uliopita chini ya kocha Kenny Dalglish.

” Kama Liverpoolfc watapata kocha mpya ambaye kwenye mipango yake ntakuemo na kunifanya niweze cheza mara nyingi zaidi ya msimu uliopita basi naweza bakia Liverpool”.

Chanzo: Sky Sports

Advertisements

Posted on May 24, 2012, in Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. sorry i don’t know Swahili please send me a dictionary for Swahili English

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: